csarge2972
csarge2972
28.02.2021 • 
Mathematics

1. Nyambua vitenzi hivi katika kauli za kutendua na kutenduka kisha uvitungie sentensi
(a) bana
tata
2.
nasa
(d) tandika
(e) remba
Tumia maneno yanayotoa maana ya kinyume cha kitendo kilichokolezwa wino.
(a) Tutakapopata kwetu tutatia vitu vyetu hapa na kuhamia mbali.
(b) Uliufukua mhogo.
(c) Picha atakayoibandika ukutani inaonyesha chui akimnyemelea paa.
(d) Mteja alipoinama katika shughuli za mazingaombwe pesa zilikuwa zimeenda.
(e) Hamali alipakia mizigo yake bila kinyongo.
(f) Nyanya ameziba tundu lenye kuleta mwanga chumbani.
(g) Alipovaa kofia alijitosa ndani ya bahari kuogelea.
(h). Kijakazi aliangika vyombo vya tajiri wake.
Ataifuma sweta yake.
6) Mzee ameificha siri hiyo.
D. KUSOMA KWA MAPANA​

Solved
Show answers

Ask an AI advisor a question